Psalms 147:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hakuyatendea hivyo mataifa mengine; watu wengine hawayajui maagizo yake. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hajafanya hivyo kwa taifa lingine lolote, hawazijui sheria zake. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakulitendea taifa lo lote mambo kama hayo, Wala hukumu zake hawakuzijua. Haleluya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hakuyatendea hivyo mataifa mengine; watu wengine hawayajui maagizo yake. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hajafanya hivyo kwa taifa lingine lo lote, hawazijui sheria zake. Msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hajafanya hivyo kwa taifa lingine lolote, hawazijui sheria zake. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakulitendea taifa lolote mambo kama hayo, Wala hukumu zake hawakuzijua. Haleluya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hakuyatendea hivyo mataifa mengine; watu wengine hawayajui maagizo yake. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo hakuvifanyizia wamizimu wo wote, nayo maamuzi yake hakuwajulisha. Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakulitendea taifa lo lote mambo kama hayo, Wala hukumu zake hawakuzijua. Haleluya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakuyatendea hivyo mataifa; wao hawajui maagizo yake. Haleluia!