Psalms 147:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anawaponya waliovunjika moyo; na kuwatibu majeraha yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anawaponya waliovunjika mioyo na kuvifunga vidonda vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuziganga jeraha zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anawaponya waliovunjika moyo; na kuwatibu majeraha yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anawaponya waliovunjika mioyo na kuvifunga vidonda vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anawaponya waliovunjika mioyo na kuvifunga vidonda vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuyaganga majeraha yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anawaponya waliovunjika moyo; na kuwatibu majeraha yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye anawaponya waliovunjika mioyo, ndiye anayewafunga vidonda vyao, walipoumizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuziganga jeraha zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anawaponyesha waliovunjika moyo; na kuwatunza vidonda vyao.