Psalms 147:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana wetu ni mkuu, ana nguvu nyingi; maarifa yake hayana kipimo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, ufahamu wake hauna kikomo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana wetu ni mkuu, ana nguvu nyingi; maarifa yake hayana kipimo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, ufahamu wake hauna kikomo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, ufahamu wake hauna kikomo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana wetu ni mkuu, ana nguvu nyingi; maarifa yake hayana kipimo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana wetu ni mkubwa mwenye nguvu nyingi, matambuzi yake hayahesabiki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana wetu ni mukubwa, ana nguvu nyingi; maarifa yake hayana kipimo.