Psalms 147:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwakweza wanyenyekevu, lakini huwatupa waovu mavumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwahifadhi wanyenyekevu lakini huwashusha waovu hadi mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huwategemeza wenye upole, Huwaangusha chini wenye jeuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwakweza wanyenyekevu, lakini huwatupa waovu mavumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwahifadhi wanyenyekevu lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwahifadhi wanyenyekevu lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huwategemeza wenye upole, Huwaangusha chini wenye jeuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwakweza wanyenyekevu, lakini huwatupa waovu mavumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ndiye anayewaegemeza watesekao, tena ndiye anayewakumba wasiomcha, waanguke chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huwategemeza wenye upole, Huwaangusha chini wenye jeuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawashikilia wanyenyekevu, lakini anawaangusha waovu katika mavumbi.