Psalms 147:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani, mpigieni kinubi Mungu wetu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana kwa kushukuru, Mwimbieni Mungu wetu kwa kinubi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani, mpigieni kinubi Mungu wetu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA kwa kushukuru, Mwimbieni Mungu wetu kwa kinubi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani, mpigieni kinubi Mungu wetu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwitikieni Bwana na kumshukuru! Mwimbieni Mungu wetu na kupiga mazeze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA kwa kushukuru, Mwimbieni Mungu wetu kwa kinubi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Yawe nyimbo za shukrani, mumupigie Mungu wetu kinubi!