Psalms 147:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hulifunika anga kwa mawingu, huitengenezea nchi mvua, na kuchipusha nyasi vilimani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye huzifunika anga kwa mawingu, huinyeshea ardhi mvua, na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huzifunika mbingu kwa mawingu, Huitengenezea nchi mvua, Na kuyameesha majani milimani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hulifunika anga kwa mawingu, huitengenezea nchi mvua, na kuchipusha nyasi vilimani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye huzifunika anga kwa mawingu, huinyeshea ardhi mvua na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye huzifunika anga kwa mawingu, huinyeshea ardhi mvua, na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huzifunika mbingu kwa mawingu, Huitengenezea nchi mvua, Na kuichipusha nyasi milimani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hulifunika anga kwa mawingu, huitengenezea nchi mvua, na kuchipusha nyasi vilimani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye anayeifunika mbingu kwa mawingu, naye anayezinyeshea nchi mvua ndiye yeye, ndiye anayechipuza majani huko milimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huzifunika mbingu kwa mawingu, Huitengenezea nchi mvua, Na kuyameesha majani milimani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anafunika anga kwa mawingu, anaitayarishia inchi mvua, na kuchipukiza nyasi kwenye vilima.