Psalms 147:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwapa wanyama chakula chao, na kuwalisha makinda ya kunguru yanapolia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Humpa mnyama chakula chake, Wana-kunguru waliao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwapa wanyama chakula chao, na kuwalisha makinda ya kunguru yanapolia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwapa mifugo chakula na makinda ya kunguru yanapolia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Humpa mnyama chakula chake, Wana-kunguru waliao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwapa wanyama chakula chao, na kuwalisha makinda ya kunguru yanapolia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye anayewapa nyama vilaji vyao, nao makinda ya kunguru wamliliao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Humpa mnyama chakula chake, Wana-kunguru waliao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anawapa nyama chakula chao, na kulisha vitoto vya kibombobombo vinapomulilia.