Psalms 148:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka mbinguni, msifuni kutoka huko juu mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu. Msifuni Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, msifuni juu vileleni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Msifuni Bwana kutoka mbinguni; Msifuni katika mahali palipo juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka mbinguni, msifuni kutoka huko juu mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA. Msifuni BWANA kutoka mbinguni, msifuni juu vileleni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana. Msifuni bwana kutoka mbinguni, msifuni juu vileleni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Msifuni BWANA kutoka mbinguni; Msifuni katika mahali palipo juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka mbinguni, msifuni kutoka huko juu mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haleluya! Mshangilieni Bwana kule mbinguni! Mshangilieni huko juu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Msifuni BWANA kutoka mbinguni; Msifuni katika mahali palipo juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haleluia! Mumusifu Yawe kutoka mbinguni, mumusifu kutoka huko juu mbinguni.