Psalms 148:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni enyi wanyama wa porini na wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege wote!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wanyama pori na mifugo yote, viumbe vidogo na ndege warukao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayawani, na wanyama wafugwao, Vitambaavyo, na ndege wenye mbawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni enyi wanyama wa porini na wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege wote!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wanyama wa mwituni na mifugo yote, viumbe vidogo na ndege warukao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wanyama wa mwituni na mifugo yote, viumbe vidogo na ndege warukao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayawani, na wanyama wafugwao, Vitambaavyo, na ndege wenye mbawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni enyi wanyama wa porini na wafugwao, viumbe vitambaavyo na ndege wote!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nyama wote wa nyumbani nao wa porini, wadudu pamoja na ndege, wao warukao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hayawani, na wanyama wafugwao, Vitambaavyo, na ndege wenye mbawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu, enyi nyama wa pori na wa kufugwa, viumbe vinavyotambaa na ndege wote!