Psalms 148:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni enyi wafalme na mataifa yote; viongozi na watawala wote duniani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wafalme wa dunia na mataifa yote, ninyi wakuu na watawala wote wa dunia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafalme wa dunia, na watu wote, Wakuu, na makadhi wote wa dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni enyi wafalme na mataifa yote; viongozi na watawala wote duniani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wafalme wa dunia na mataifa yote, ninyi wakuu na watawala wote wa dunia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wafalme wa dunia na mataifa yote, ninyi wakuu na watawala wote wa dunia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafalme wa dunia, na watu wote, Wakuu, na watawala wote wa dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni enyi wafalme na mataifa yote; viongozi na watawala wote duniani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wafalme wa nchi na makabila yote ya watu, wakuu wao wote walio waamuzi wa nchi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme wa dunia, na watu wote, Wakuu, na makadhi wote wa dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu, enyi wafalme na mataifa yote; waongozi na watawala wote katika dunia!