Psalms 148:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni enyi wavulana na wasichana; wazee wote na watoto pia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vijana wa kiume na wanawali, wazee na watoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vijana waume, na wanawali, Wazee, na watoto;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni enyi wavulana na wasichana; wazee wote na watoto pia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wanaume vijana na wanawali, wazee na watoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wanaume vijana na wanawali, wazee na watoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vijana wa kiume, na wanawali, Wazee, na watoto;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni enyi wavulana na wasichana; wazee wote na watoto pia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
vijana wa kiume nao wa kike, wazee pamoja nao walio watoto,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vijana waume, na wanawali, Wazee, na watoto;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu, enyi vijana wanaume na wabinti; wazee wote na watoto!