Psalms 148:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyote lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, maana jina lake peke yake latukuka; utukufu wake wapita dunia na mbingu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote na walisifu jina la Mwenyezi Mungu, kwa maana jina lake pekee limetukuka, utukufu wake uko juu ya nchi na mbingu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walisifu jina la Bwana, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyote lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, maana jina lake peke yake latukuka; utukufu wake wapita dunia na mbingu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote na walisifu jina la BWANA, kwa maana jina lake pekee limetukuka, utukufu U juu ya nchi na mbingu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote na walisifu jina la bwana, kwa maana jina lake pekee limetukuka, utukufu wake uko juu ya nchi na mbingu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walisifu jina la BWANA, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyote lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, maana jina lake peke yake latukuka; utukufu wake wapita dunia na mbingu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wote pia na walishangilie Jina la Bwana! Kwani limetukuka peke yake, utukufu wake unaupita wa nchi na wa mbingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walisifu jina la BWANA, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote musifu jina la Yawe, maana jina lake peke yake linatukuzwa; utukufu wake unapita dunia na mbingu.