Psalms 148:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni, enyi majeshi yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni yeye, enyi jeshi lake lote la mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifuni, enyi malaika wake wote; Msifuni, majeshi yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni, enyi majeshi yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni yeye, enyi jeshi lake lote la mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni yeye, enyi jeshi lake lote la mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifuni, enyi malaika wake wote; Msifuni, majeshi yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni, enyi malaika wake wote, msifuni, enyi majeshi yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi malaika zake wote, mshangilieni! Ninyi vikosi vyake vyote, mshangilieni
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifuni, enyi malaika wake wote; Msifuni, majeshi yake yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu enyi wamalaika wake wote, mumusifu enyi jeshi lake lote.