Psalms 148:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni, enyi mbingu za juu, na maji yaliyo juu ya mbingu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana, na ninyi maji juu ya anga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifuni, enyi mbingu za mbingu, Nanyi maji mlioko juu ya mbingu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni, enyi mbingu za juu, na maji yaliyo juu ya mbingu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana na ninyi maji juu ya anga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana, na ninyi maji juu ya anga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifuni, enyi mbingu za mbingu, Nanyi maji mlioko juu ya mbingu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni, enyi mbingu za juu, na maji yaliyo juu ya mbingu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbingu zilizoko juu ya mbingu, mshangilieni pamoja na maji yaliyoko mbinguni juu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifuni, enyi mbingu za mbingu, Nanyi maji mlioko juu ya mbingu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu enyi mbingu za juu, na maji yanayokuwa juu ya mbingu.