Psalms 148:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vyote vilisifu jina la Mwenyezi-Mungu, maana yeye aliamuru, na vyote vikawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vilisifu jina la Mwenyezi Mungu kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vilisifu jina la Bwana, Kwa maana aliamuru, vikaumbwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vyote vilisifu jina la Mwenyezi-Mungu, maana yeye aliamuru, na vyote vikawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vilisifu jina la BWANA kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vilisifu jina la bwana kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vilisifu jina la BWANA, Kwa maana aliamuru, vikaumbwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vyote vilisifu jina la Mwenyezi-Mungu, maana yeye aliamuru, na vyote vikawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina la Bwana lishangilieni! Yeye alipoagiza, ziliumbwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vilisifu jina la BWANA, Kwa maana aliamuru, vikaumbwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vyote visifu jina la Yawe, maana yeye aliamuru, na vyote vikakuwa.