Psalms 148:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye aliviweka mahali pao daima, kwa amri ambayo haiwezi kubatilishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliviweka mahali pake milele na milele, alitoa amri ambayo haibadiliki milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amevithibitisha hata milele na milele, Ametoa amri wala haitapita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye aliviweka mahali pao daima, kwa amri ambayo haiwezi kubatilishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliviweka mahali pake milele na milele, alitoa amri ambayo haibadiliki milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliviweka mahali pake milele na milele, alitoa amri ambayo haibadiliki milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amevithibitisha hata milele na milele, Ametoa amri wala haitapita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye aliviweka mahali pao daima, kwa amri ambayo haiwezi kubatilishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akazisimamisha za kuwapo kale na kale, akazikatia pao pa kuwapo, zisipapite.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amevithibitisha hata milele na milele, Ametoa amri wala haitapita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye aliviweka nafasi yao kwa milele, kwa amri ambayo haiwezi kuvunjika.