Psalms 148:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka duniani; enyi majoka ya baharini na vilindini, msifuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu kutoka duniani, ninyi wanyama wakubwa wa baharini, na vilindi vyote vya bahari,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifuni Bwana kutoka nchi, Enyi nyangumi na vilindi vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka duniani; enyi majoka ya baharini na vilindini, msifuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtukuzeni BWANA kutoka duniani, ninyi viumbe vikubwa vya baharini na vilindi vyote vya bahari,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtukuzeni bwana kutoka duniani, ninyi viumbe vikubwa vya baharini na vilindi vyote vya bahari,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifuni BWANA kutoka nchi, Enyi nyangumi na vilindi vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu kutoka duniani; enyi majoka ya baharini na vilindini, msifuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mshangilieni Bwana huku nchini, ninyi nyama wakubwa wa baharini na vilindi vyote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifuni BWANA kutoka nchi, Enyi nyangumi na vilindi vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe tokea katika dunia; enyi nyoka wakubwa wa bahari na mashimo ya bahari, mumusifu.