Psalms 148:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni enyi moto, mvua ya mawe na theluji, upepo wa tufani unaotimiza amri yake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
miali ya radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu, pepo za dhoruba zinazotimiza amri zake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moto na mvua ya mawe, theluji na mvuke, Upepo wa dhoruba ulitendao neno lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni enyi moto, mvua ya mawe na theluji, upepo wa tufani unaotimiza amri yake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu, pepo za dhoruba zinazofanya amri zake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu, pepo za dhoruba zinazofanya amri zake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moto na mvua ya mawe, theluji na mvuke, Upepo wa dhoruba utimizao neno lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni enyi moto, mvua ya mawe na theluji, upepo wa tufani unaotimiza amri yake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moto na mvua ya mawe theluji na kungugu, upepo wa kimbunga ulitimizao Neno lake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moto na mvua ya mawe, theluji na mvuke, Upepo wa dhoruba ulitendao neno lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu, enyi moto, mvua ya mawe na teluji, upepo wenye zoruba unaotimiza amri yake!