Psalms 148:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni enyi milima na vilima, miti ya matunda na misitu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ninyi milima na vilima vyote, miti ya matunda na mierezi yote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Milima na vilima vyote, Miti yenye matunda na mierezi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni enyi milima na vilima, miti ya matunda na misitu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ninyi milima na vilima vyote, miti ya matunda na mierezi yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ninyi milima na vilima vyote, miti ya matunda na mierezi yote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Milima na vilima vyote, Miti yenye matunda na mierezi yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni enyi milima na vilima, miti ya matunda na misitu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
milima na vilima vyote, ijapo viwe vidogo, miti izaayo matunda na miangati yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Milima na vilima vyote, Miti yenye matunda na mierezi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu, enyi milima na vilima, miti ya matunda na ya mierezi!