Psalms 149:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya; msifuni katika kusanyiko la waaminifu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu. Mwimbieni Mwenyezi Mungu wimbo mpya, sifa zake katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya; msifuni katika kusanyiko la waaminifu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA. Mwimbieni BWANA wimbo mpya, sifa zake katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana. Mwimbieni bwana wimbo mpya, sifa zake katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya; msifuni katika kusanyiko la waaminifu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Heleluya! Mwimbieni Bwana wimbo mpya! Mkutano wao wamchao na umshangilie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haleluia! Mumwimbie Yawe wimbo mupya; mumusifu katika kusanyiko la waaminifu!