Psalms 149:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Furahi ee Israeli kwa sababu ya Muumba wako, wakazi wa Siyoni shangilieni kwa sababu ya Mfalme wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Israeli na washangilie katika Muumba wao, watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya, Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Furahi ee Israeli kwa sababu ya Muumba wako, wakazi wa Siyoni shangilieni kwa sababu ya Mfalme wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Israeli na washangilie katika Muumba wao, watu wa Sayuni na wafurahi katika mfalme wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Israeli na washangilie katika Muumba wao, watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Israeli na amfurahie Yeye aliyemwumba, Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Furahi ee Israeli kwa sababu ya Muumba wako, wakazi wa Siyoni shangilieni kwa sababu ya Mfalme wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli na wamfurahie aliyewafanya! Wana wa sioni na wampigie vigelegele aliye mfalme wao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya, Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umufurahie Muumba wako, ee Israeli; ninyi wakaaji wa Sayuni, mumushangilie mufalme wenu.