Psalms 149:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lisifuni jina lake kwa ngoma, mwimbieni kwa ngoma na zeze.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walisifu jina lake kwa kucheza, Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lisifuni jina lake kwa ngoma, mwimbieni kwa ngoma na zeze.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walisifu jina lake kwa kucheza, Kwa sauti tamu ya matari na kinubi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lisifuni jina lake kwa ngoma, mwimbieni kwa ngoma na zeze.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na walishangilie Jina lake na kucheza ngoma! Na wamwimbie na kupiga patu pamoja na mazeze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walisifu jina lake kwa kucheza, Kwa matari na kinubi wamwimbie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulisifu jina lake mukicheza, mumwimbie kwa ngoma na zeze.