Psalms 149:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu hupendezwa na watu wake; yeye huwapamba wanyonge kwa ushindi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mwenyezi Mungu anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji la wokovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu hupendezwa na watu wake; yeye huwapamba wanyonge kwa ushindi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana BWANA anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana bwana anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA amewaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu hupendezwa na watu wake; yeye huwapamba wanyonge kwa ushindi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana anapendezwa nao wlaio ukoo wake, huwaokoa watesekao na kuwapamba vizuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA awaridhia watu wake, Huwapamba wenye upole kwa wokovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Yawe anapendezwa na watu wake; yeye anawaheshimisha wanyenyekevu kwa kuwapa ushindi.