Psalms 149:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waaminifu wafurahi kwa fahari; washangilie hata walalapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakatifu washangilie katika heshima hii, na waimbe kwa shangwe vitandani mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watauwa na waushangilie utukufu, Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waaminifu wafurahi kwa fahari; washangilie hata walalapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakatifu na washangilie katika heshima hii na waimbe kwa shangwe vitandani mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakatifu washangilie katika heshima hii, na waimbe kwa shangwe vitandani mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watauwa na waushangilie utukufu, Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waaminifu wafurahi kwa fahari; washangilie hata walalapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamchao na wapige shangwe kwa kupate utukufu! Na wapige vigelegele katika vilalo vyao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watauwa na waushangilie utukufu, Waimbe kwa sauti kuu vitandani mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waaminifu wafurahi, wakitukuza Mungu, hata wanapolala.