Psalms 149:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wawalipe kisasi watu wa mataifa, wawaadhibu watu wasiomjua Mungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili walipize mataifa kisasi na adhabu juu ya mataifa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili kufanya kisasi juu ya mataifa, Na adhabu juu ya kabila za watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wawalipe kisasi watu wa mataifa, wawaadhibu watu wasiomjua Mungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili walipize mataifa kisasi na adhabu juu ya mataifa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili walipize mataifa kisasi na adhabu juu ya mataifa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili kufanya kisasi juu ya mataifa, Na adhabu juu ya makabila ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wawalipe kisasi watu wa mataifa, wawaadhibu watu wasiomjua Mungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wajipatie malipizi kwao wamizimu, makali ya hao watu wayapatilize!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili kufanya kisasi juu ya mataifa, Na adhabu juu ya kabila za watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wawalipize mataifa kisasi, wawaazibu watu;