Psalms 149:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wawafunge wafalme wao kwa minyororo, na viongozi wao kwa pingu za chuma,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wawafunge wafalme wao kwa minyororo, wakuu wao kwa pingu za chuma,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wawafunge wafalme wao kwa minyororo, Na wakuu wao kwa pingu za chuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wawafunge wafalme wao kwa minyororo, na viongozi wao kwa pingu za chuma,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wawafunge wafalme wao kwa minyororo, wakuu wao kwa pingu za chuma,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wawafunge wafalme wao kwa minyororo, wakuu wao kwa pingu za chuma,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wawafunge wafalme wao kwa minyororo, Na wakuu wao kwa pingu za chuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wawafunge wafalme wao kwa minyororo, na viongozi wao kwa pingu za chuma,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wawafunge wafalme wao kwa minyororo nao watukufu wao kwa mapingu ya chuma!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wawafunge wafalme wao kwa minyororo, Na wakuu wao kwa pingu za chuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wawafunge wafalme wao kwa minyororo, nao waongozi wao kwa vifungio vya chuma,