Psalms 149:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kusudi watekeleze adhabu iliyoamriwa! Hiyo ndiyo fahari ya waaminifu wa Mungu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuwafanyia hukumu iliyoandikwa; Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Haleluya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kusudi watekeleze adhabu iliyoamriwa! Hiyo ndiyo fahari ya waaminifu wa Mungu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. Msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuwafanyia hukumu iliyoandikwa; Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Haleluya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kusudi watekeleze adhabu iliyoamriwa! Hiyo ndiyo fahari ya waaminifu wa Mungu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wawafanyizie zile hukumu, walizoandikiwa! Macheo kama hayo watapewa wote wamchao. Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuwafanyia hukumu iliyoandikwa; Hiyo ndiyo heshima ya watauwa wake wote. Haleluya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi wawaazibu sawa ilivyoamuriwa! Na huu ndio utukufu wa waaminifu wa Mungu. Haleluia!