Psalms 15:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, ni nani atakayekaa Katika hema yako? Ni nani atakayefanya maskani yake Katika kilima chako kitakatifu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) BWANA, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, ni nani atakayekaa Katika hema yako? Ni nani atakayeishi Katika kilima chako kitakatifu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani ee Mwenyezi-Mungu atakayekaa hemani mwako? Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, yuko nani atakayetua hemani mwako? Yuko nani atakayekaa mlimani kwenye utukufu wako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, ni nani atakayekaa Katika hema yako? Ni nani atakayefanya maskani yake Katika kilima chako kitakatifu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Ee Yawe, nani atakayekaa katika hema yako? Nani atakayeishi juu ya mulima wako mutakatifu?