Psalms 15:3 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ni mtu asiyesengenya watu, asiyemtendea uovu rafiki yake, wala kumfitini jirani yake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na hana masingizio ulimini mwake, asiyemtenda jirani yake vibaya, na asiyemsingizia mwenzake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asiyesingizia kwa ulimi wake. Wala hakumtenda mwenziwe mabaya, Wala hakumsengenya jirani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ni mtu asiyesengenya watu, asiyemtendea uovu rafiki yake, wala kumfitini jirani yake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na hana masingizio ulimini mwake, asiyemtenda jirani yake vibaya na asiyemsingizia mwenzake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na hana masingizio ulimini mwake, asiyemtenda jirani yake vibaya, na asiyemsingizia mwenzake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asiyesingizia kwa ulimi wake. Wala kumtenda mwenziwe mabaya, Wala kumsengenya jirani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ni mtu asiyesengenya watu, asiyemtendea uovu rafiki yake, wala kumfitini jirani yake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulimi wake hausemi yaliyo masingizio; hamfanyizii mwenziwe kibaya, naye, waliyetua pamoja, hamtii soni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asiyesingizia kwa ulimi wake. Wala hakumtenda mwenziwe mabaya, Wala hakumsengenya jirani yake.