Psalms 15:4 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye humdharau mtu mbaya, lakini huwaheshimu wale wamwogopao Mwenyezi Mungu, yule atunzaye kiapo chake hata kama anaumia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Machoni pake mtu asiyefaa hudharauliwa, Bali huwaheshimu wamchao Bwana Ingawa ameapa kwa hasara yake, Hayabadili maneno yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye humdharau mtu mbaya sana, lakini huwaheshimu wale ambao humwogopa BWANA, yule atunzaye kiapo chake hata kama anaumia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye humdharau mtu mbaya, lakini huwaheshimu wale wamwogopao bwana, yule atunzaye kiapo chake hata kama anaumia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Anayedharau waovu Machoni pake, Bali huwaheshimu wamchao BWANA Aliyeapa ingawa kwa hasara yake, Hayabadili maneno yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliyetupwa si kitu machoni pake, lakini wamchao Bwana anawaheshimu; kama ameapa, hageuzi, ijapo yampatie mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Machoni pake mtu asiyefaa hudharauliwa, Bali huwaheshimu wamchao BWANA Ingawa ameapa kwa hasara yake, Hayabadili maneno yake.