Psalms 150:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haleluya! Mshangilieni bwana hapo Patakatifu pake! Bomani mwake mwenye nguvu mshangilieni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Mungu katika pahali pake patakatifu, mumusifu juu mbinguni kwenye uwezo wake!