Psalms 150:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni kwa mlio wa tarumbeta; msifuni kwa zeze na kinubi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni kwa mlio wa tarumbeta; msifuni kwa zeze na kinubi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, msifuni kwa kinubi na zeze,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni kwa mlio wa tarumbeta; msifuni kwa zeze na kinubi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuvumisha mabaragumu mshangilieni! Kwa kupiga mapango na mazeze mshangilieni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu kwa mulio wa baragumu, mumusifu kwa zeze na kinubi!