Psalms 150:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni kwa ngoma na kucheza; msifuni kwa filimbi na banjo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni kwa ngoma na kucheza; msifuni kwa filimbi na banjo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni kwa ngoma na kucheza; msifuni kwa filimbi na banjo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kupiga patu na kucheza ngoma mshangilieni! Kwa kupiga vinanda na mazomari mshangilieni
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu kwa ngoma na michezo, mumusifu kwa filimbi na kinanda!