Psalms 150:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni kwa kupiga matoazi. Msifuni kwa matoazi ya sauti kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni kwa kupiga matoazi. msifuni kwa matoazi ya sauti kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
msifuni kwa matoazi yaliayo, msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni kwa kupiga matoazi. Msifuni kwa matoazi ya sauti kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kupiga matoazi yaliayo vizuri mshangilieni! Kwa kupiga matoazi yenye mavumo sana mshangilieni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu kwa matoazi ya sauti kubwa, mumusifu kwa matoazi yenye kuvuma sana!