Psalms 150:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila chenye pumzi na kimsifu Mwenyezi Mungu. Msifuni Mwenyezi Mungu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila chenye pumzi na kimsifu BWANA. Msifuni BWANA. Haleluya!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila chenye pumzi na kimsifu bwana. Msifuni bwana!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na wamshangilie Bwana wote wenye pumzi! Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila kiumbe chenye uzima kimusifu Yawe! Mumusifu Yawe!