Psalms 16:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Utenzi wa Daudi) Unilinde ee Mungu; maana kwako nakimbilia usalama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, uniweke salama, kwa maana kwako nimekimbilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unilinde ee Mungu; maana kwako nakimbilia usalama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Utenzi wa Daudi) Ee Mungu, uniweke salama, kwa maana kwako nimekimbilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, uniweke salama, kwa maana kwako nimekimbilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unilinde ee Mungu; maana kwako nakimbilia usalama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unilinde, Mungu! Kwani nimekukimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mashairi ya Daudi. Unilinde, ee Mungu, maana ninakimbilia kwako.