Psalms 16:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam wewe hutaiacha nafsi yangu kuzimu, hutaniacha mimi mwaminifu wako nipate kuoza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana hutaniacha Kuzimu, wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hutakuachia kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam wewe hutaiacha nafsi yangu kuzimu, hutaniacha mimi mwaminifu wako nipate kuoza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu hutanitelekeza kuzimu, wala hutaacha Mtakatifu Wako aone uharibifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hutaitupa kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam wewe hutaiacha nafsi yangu kuzimu, hutaniacha mimi mwaminifu wako nipate kuoza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hutaiacha roho yangu, ipotee kuzimuni, wala hutamtoa akuchaye, apate kuoza kaburini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hutakuachia kuzimu nafsi yangu, Wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli wewe unanikinga na nguvu za kuzimu, haumwachi mutakatifu wako aone kaburi.