Psalms 16:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanionesha njia ya kufikia uhai; kuwako kwako kwanijaza furaha kamili, katika mkono wako wa nguvu mna mema ya milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umenijulisha njia ya uzima; utanijaza na furaha mbele zako, pamoja na furaha ya milele katika mkono wako wa kuume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako ziko furaha tele; Na katika mkono wako wa kuume Mna mema ya milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanionesha njia ya kufikia uhai; kuwako kwako kwanijaza furaha kamili, katika mkono wako wa nguvu mna mema ya milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umenijulisha njia ya uzima; utanijaza na shangwe katika uwepo wako, pamoja na furaha za milele katika mkono wako wa kuume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umenijulisha njia ya uzima; utanijaza na furaha mbele zako, pamoja na furaha za milele katika mkono wako wa kuume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako kuna furaha tele; Na katika mkono wako wa kulia Mna mema ya milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanionesha njia ya kufikia uhai; kuwako kwako kwanijaza furaha kamili, katika mkono wako wa nguvu mna mema ya milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unanitambulisha njia iendayo penye uzima, utanishibisha furaha zilizopo usoni pako; mkono wako wa kuume hutoa kale na kale yapendezayo.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako ziko furaha tele; Na katika mkono wako wa kuume Mna mema ya milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unanionyesha njia ya kufikia uzima. Kuwa mbele yako ni kujazwa furaha, kuwa kwa kuume kwako kunapendeza milele.