Psalms 16:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namwambia Mungu: “Wewe u Bwana wangu; sina jema lolote ila wewe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilimwambia Mwenyezi Mungu, “Wewe ndiwe Bwana wangu; pasipo wewe sina jambo jema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimemwambia Bwana, Ndiwe Bwana wangu; Sina wema ila utokao kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namwambia Mungu: “Wewe u Bwana wangu; sina jema lolote ila wewe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilimwambia BWANA, “Wewe ndiwe Bwana wangu; pasipo wewe sina jambo jema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilimwambia bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; pasipo wewe sina jambo jema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimemwambia BWANA, Ndiwe BWANA wangu; Sina wema ila utokao kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namwambia Mungu: “Wewe u Bwana wangu; sina jema lolote ila wewe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimemwambia Bwana: Wewe u bwana wangu; hakuna nionacho kuwa chema kisichotoka kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimemwambia BWANA, Ndiwe BWANA wangu; Sina wema ila utokao kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamwambia Mungu: “Wewe ni Bwana wangu; sina uheri wowote isipokuwa wewe.”