Psalms 16:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ee Mwenyezi-Mungu ndiwe riziki yangu kuu, majaliwa yangu yamo mikononi mwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu umeniwekea fungu langu na kikombe changu; umeyafanya mambo yangu yote yawe salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye fungu la posho langu, Na la kikombe changu; Wewe unaishika kura yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ee Mwenyezi-Mungu ndiwe riziki yangu kuu, majaliwa yangu yamo mikononi mwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA umeniwekea fungu langu na kikombe changu; umeyafanya mambo yangu yote yawe salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana umeniwekea fungu langu na kikombe changu; umeyafanya mambo yangu yote yawe salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye fungu la posho langu, Na la kikombe changu; Wewe unayaamua maisha yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ee Mwenyezi-Mungu ndiwe riziki yangu kuu, majaliwa yangu yamo mikononi mwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni fungu langu, nililolitwaa, tena ni kinyweo, nilichopewa; wewe unanishikizia niliyopatiwa nilipopigiwa kura;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye fungu la posho langu, Na la kikombe changu; Wewe unaishika kura yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe, ee Yawe, ndiwe riziki yangu kubwa, majaliwa yangu yako katika mikono yako.