Psalms 16:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umenipimia sehemu nzuri sana; naam, urithi wangu ni wa kupendeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri, hakika nimepata urithi mzuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kamba zangu zimeniangukia mahali pema, Naam, nimepata urithi mzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umenipimia sehemu nzuri sana; naam, urithi wangu ni wa kupendeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri, hakika nimepata urithi mzuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri, hakika nimepata urithi mzuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mipaka yangu imeangukia mahali pema, Naam, nimepata urithi mzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umenipimia sehemu nzuri sana; naam, urithi wangu ni wa kupendeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kamba zake ziliponiangukia niligawiwa pazuri, hilo fungu, nililolitwaa, linapendezeka kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kamba zangu zimeniangukia mahali pema, Naam, nimepata urithi mzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umenipimia sehemu nzuri sana; urizi wangu ni wa kupendeza.