Psalms 16:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namsifu Mwenyezi-Mungu kwa kuniongoza, usiku dhamiri yangu yanionya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamsifu Mwenyezi Mungu ambaye hunishauri, hata wakati wa usiku moyo wangu hunifundisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamhimidi Bwana aliyenipa shauri, Naam, mtima wangu umenifundisha usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namsifu Mwenyezi-Mungu kwa kuniongoza, usiku dhamiri yangu yanionya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamsifu BWANA ambaye hunishauri, hata wakati wa usiku moyo wangu hunifundisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamsifu bwana ambaye hunishauri, hata wakati wa usiku moyo wangu hunifundisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamhimidi BWANA aniongozaye, Wakati wa usiku pia moyo wangu hunishauri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namsifu Mwenyezi-Mungu kwa kuniongoza, usiku dhamiri yangu yanionya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitamkuza Bwana aniongozaye, mafigo yangu hunionya hivyo hata usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamhimidi BWANA aliyenipa shauri, Naam, mtima wangu umenifundisha usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamusifu Yawe anayeniongoza. Usiku zamiri yangu inanifundisha.