Psalms 16:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimemweka Mwenyezi Mungu mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimemweka Bwana mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimemweka BWANA mbele yangu daima. Kwa kuwa yupo mkono wangu wa kuume, sitatikiswa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimemweka bwana mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuliani mwangu, sitaondoshwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Bwana na anisimamie kila, nitakapokuwa, awe kuumeni kwangu, nisitikisike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zote Yawe ni mbele yangu; yeye yuko pamoja nami, wala sitatikisika.