Psalms 16:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo nitafurahi kwa moyo wote na kushangilia, nami nitakaa salama salimini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia; mwili wangu nao utapumzika salama,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo nitafurahi kwa moyo wote na kushangilia, nami nitakaa salama salimini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo moyo wangu una furaha na ulimi wangu unashangilia; pia mwili wangu utapumzika salama,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia; mwili wangu nao utapumzika salama,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nayo nafsi yangu inashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo nitafurahi kwa moyo wote na kushangilia, nami nitakaa salama salimini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo moyo wangu hufurahi, nayo yaliyo utukufu wangu hushangilia, hata mwili wangu utatulia kwa kuwa na kingojeo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo nitafurahi kwa moyo wote na kushangilia, nami nitakaa salama kabisa.