Psalms 17:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Sala ya Daudi) Ee Mwenyezi-Mungu usikie kisa changu cha haki, usikilize kilio changu, uitegee sikio sala yangu isiyo na hila.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikia, Ee Mwenyezi Mungu, kusihi kwangu kwa haki, sikiliza kilio changu. Tega sikio kwa ombi langu, halitoki katika midomo ya udanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu usikie kisa changu cha haki, usikilize kilio changu, uitegee sikio sala yangu isiyo na hila.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Sala Ya Daudi) Sikia, Ee BWANA, kusihi kwangu kwa haki, sikiliza kilio changu. Tega sikio kwa ombi langu, halitoki kwenye midomo ya udanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikia, Ee bwana, kusihi kwangu kwa haki, sikiliza kilio changu. Tega sikio kwa ombi langu, halitoki kwenye midomo ya udanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu usikie kisa changu cha haki, usikilize kilio changu, uitegee sikio sala yangu isiyo na hila.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
E Bwana, sikia jambo liongokalo! Yaitikie malalamiko yangu! Sikiliza nikuombayo na midomo isiyodanganya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maombi ya Daudi. Ee Yawe, usikie ombi langu la haki, usikilize kilio changu, uyategee sikio maombi yangu yasiyokuwa ya udanganyifu.