Psalms 17:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao hawana huruma yoyote moyoni; wamejaa maneno ya kujigamba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huifunga mioyo yao iliyo migumu, vinywa vyao hunena kwa majivuno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wameukaza moyo wako, Kwa vinywa vyao hutoa majivuno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao hawana huruma yoyote moyoni; wamejaa maneno ya kujigamba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huifunga mioyo yao iliyo migumu, vinywa vyao hunena kwa majivuno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huifunga mioyo yao iliyo migumu, vinywa vyao hunena kwa majivuno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamejawa na ukaidi, Kwa vinywa vyao wanajigamba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao hawana huruma yoyote moyoni; wamejaa maneno ya kujigamba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mioyo yao migumu huishupaza, navyo vinywa vyao husema majivuno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wameukaza moyo wako, Kwa vinywa vyao hutoa majivuno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao hawana huruma yoyote ndani ya moyo; wamejaa maneno ya kujivuna.