Psalms 17:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wananifuatia na kunizunguka; wananivizia waniangushe chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sasa wametuzunguka hatua zetu, Na kuyakaza macho yao watuangushe chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wananifuatia na kunizunguka; wananivizia waniangushe chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamenifuatia; na sasa wananizunguka, Na kuyakaza macho yao watuangushe chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wananifuatia na kunizunguka; wananivizia waniangushe chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukiwa tunajiendea tu, mara hutuzuia wakitumbuliza macho, wapate kutuangusha chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sasa wametuzunguka hatua zetu, Na kuyakaza macho yao watuangushe chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wananifuatilia na kunizunguka; wananivizia waniangushe chini.