Psalms 17:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wako tayari kunirarua kama simba: Kama mwanasimba aviziavyo mawindo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamefanana na simba mwenye njaa anayewinda, kama simba mkubwa anayenyemelea mafichoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mfano wa simba atakaye kurarua, Kama mwana-simba aoteaye katika maoteo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wako tayari kunirarua kama simba: kama mwanasimba aviziavyo mawindo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye, kama simba mkubwa anyemeleaye mafichoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye, kama simba mkubwa anyemeleaye mafichoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mfano wa simba atakaye kurarua, Kama mwanasimba aoteaye katika maotea yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wako tayari kunirarua kama simba: Kama mwanasimba aviziavyo mawindo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hufanana na simba atamaniye kunyafua, au na mwana wa simba anyatiaye na kujifichaficha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mfano wa simba atakaye kurarua, Kama mwana-simba aoteaye katika maoteo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wako tayari kunirarua kama simba, kama simba mukali anavyovizia nyama.