Psalms 17:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwakabili na kuwaporomosha. Kwa upanga uiokoe nafsi yangu kutoka kwa waovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inuka, Ee Mwenyezi Mungu, pambana nao, uwaangushe, niokoe kwa upanga wako kutoka kwa waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, usimame, umkabili, umwinamishe, Kwa upanga wako uniokoe nafsi na mtu mbaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwakabili na kuwaporomosha. Kwa upanga uiokoe nafsi yangu kutoka kwa waovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inuka, Ee BWANA, pambana nao, uwaangushe, niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inuka, Ee bwana, pambana nao, uwaangushe, niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Inuka, Ee BWANA, umkabili, umwangushe, Kwa upanga wako uniokoe nafsi yangu na mtu mbaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu, uwakabili na kuwaporomosha. Kwa upanga uiokoe nafsi yangu kutoka kwa waovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, e Bwana! Umjie mbele, upate kumbwaga! Kwa upanga wako iokoe roho yangu mikononi mwake asiyekucha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, usimame, umkabili, umwinamishe, Kwa upanga wako uniokoe nafsi na mtu mbaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, simama sasa uwapiganishe na kuwaporomosha! Kwa upanga wako uokoe nafsi yangu kutoka waovu.