Psalms 17:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nitauona uso wako, kwani ni mwadilifu; niamkapo nitajaa furaha kwa kukuona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali mimi nitauona uso wako katika haki; niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali mimi nikutazame uso wako katika haki, Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nitauona uso wako, kwani ni mwadilifu; niamkapo nitajaa furaha kwa kukuona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na mimi katika haki nitauona uso wako, niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na mimi katika haki nitauona uso wako, niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali mimi nikutazame uso wako katika haki, Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nitauona uso wako, kwani ni mwadilifu; niamkapo nitajaa furaha kwa kukuona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi kwa hivyo, nilivyo mwongofu, nautazamia uso wako, niamkiapo nipate kushiba kwa kukuona, ulivyo wewe. Akasema
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali mimi nikutazame uso wako katika haki, Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi nitauona uso wako, maana mimi ni mutu wa haki; nitakapoamuka nitajaa furaha kwa sababu unanitokea.